Fiqhi ya Ibada - Swala

Swala ‘Fiqhi Ibada yenye picha’ Lengo la ‘Taqbiiq’ hii ni kumfikia mwanafunzi na kujua sifa ya swala ya Mtume kuanzia kwenye takbiir hadi kwenye salamu kama kwamba Mtume (Swala LLahu ‘Alayhi wasallam) yu baina yetu tunasoma moja kwa moja kutoka kwake. Msomaji atasoma sifa ya swala, fadhila zake, hukumu zake, nguzo, yaliyokuwa lazima kufanywa na sunna zake, yaliyoruhusiwa na kukatazwa na yenye kubatilisha swala, kuanzia adhana hadi iqama hukumu zake na fadhila zake, sharti na sunna zake. Kisha baada ya hapo huangalia shari za swala sharti baada ya sharti kwa uwazi kabisa na ufafanuzi mzuri, kisha sujudi ya kusahau na ya kushukuru na ya kisomo, baada ya hapo swala ya jamaa na yanayohusiana na uimamu na maamuma, kisha kuna sehemu maalum kwa ajili ya swala ya ijumaa, sifa yake hukumu zake na kila kinachohusiana nayo. Mwishowe kwa njia ya ishara inaelezea swala za sunna, swala ya kuomba mvua, kupatwa kwa mwezi na jua na swala ya idi mbili nay a jeneza. Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo: 1-Zaidi ya video 55 za mafundisho 2-Kiasi cha masomo 57 3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo: 1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali. 2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu 3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma 4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea. 5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe. 6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo. Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah. Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu Query 'Fiqh Worship with pictures'            The aim of 'Taqbiiq' this is to approach a student and knowing the reputation of the Prophet's prayer from the takbiir to the greeting as the Prophet (prayers LLahu 'alayhi wa sallam) is between us we learn directly from him. The reader will read the query attributes, His grace, His judgments, columns, were necessarily made by his sunna, permitted to revoke a prohibition on the issue, from the adhan to iqama, his judgment and his virtues, his condition and sunna. Then after that you see the evil in question must after provision clearly a proper definition, then as prostrating to forget and thanks to the recitation, then the issue of family and related to the Imamat and simpleton, then there is a special section for Friday prayer, praise him all his judgments and do them. Finally through spells sign sunna prayers, prayers, ask for rain, and sun eclipses and two solemn prayer and of a coffin.            Iliyotimia copies of 'Tatbiiq' Ibadat a picture of jurisprudence collects the following:            1-More than 55 video instruction2-Amount of 57 subjects3-Hundreds of pictures with notes and teachingThis jurisprudence is popularly praised for implementing the following:1-The possibility of finding any ASW, with the ability to kutafura various verses and Hadith.2-Elections various coordination structures3-Ability to set light when reading4-Console which you can put off studies yaliyokupendezesha and video goes away easily.5-Ease that they prefer to send to your friends through e-mail.6-Your friends share what you find interesting in programs in social networking sites such as face book and twiter and others.As the 'Tatbiiq' This has been interpreted in more than five languages, namely: (English, French, Chinese, Ki-indonesia, Bengali, Kifursi, Russian, Tajik, Urdu, Hausa, Swahili, Spanish, Portuguese, German, Kihamhari) some zimeshateremshwa and others follow their implementation in sha Allah.Fiqh of Worship was a picture-is a must for every Muslim home


      
应用大小::13 MB  
价格: $ 0.99  
浏览人数:-1
排名: 0